Habiba Muhammad

IQNA

IQNA – Wanaharakati kwenye mitandao ya kijamii wamesambaza video yenye kugusa moyo ya msichana mwenye umri wa miaka 12 kutoka Gaza, ambaye kuhifadhi Qur’ani Tukufu kumekuwa kimbilio kwake.
Habari ID: 3482567   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/01